title

University Scholarship Applications

UNIVERSITY SCHOLARSHIP APPLICATIONS

 

Through the Kisa Project, we offer scholarships to Kisa graduates in support of further studies. We award partial scholarships to successful applicants as a contribution towards tuition fees onlyThe scholarship is limited to Tanzania Universities. Kwa kupitia mradi wa Kisa, tunatoa udhamini wa kujiendeleza kimasomo kwa wahitimu wa mradi huu. AfricAid inatoa sehemu ya ufadhili kwa waombaji kama mchango kwaajili ya ada tu. Ufadhili huu ni kwa vyuo vya Tanzania

 

 

INSTRUCTIONS MAELEKEZO

 1. Read the application form thoroughly. If you have any questions, please contact your Kisa Mentor straight away. Soma fomu ya maombi kwa kina. Kama una maswali yoyote, tafadhali wasiliana na Mshauri mlezi wako wa Kisa.
 2. Complete, in full, the application form and attach all required materials. Jaza fomu nzima na uambatanishe nakala zote zinazohitajika zenye viwango vizuri.
 3. Submit your application using the appropriate form below. wasilisha maombi yako kwa kutumia fomu sahihi hapo chini. 
 4. After you submit the form, you will receive an email requiring you to submit additional documents.

 

Please note that incomplete applications will not be considered. It is your responsibility to ensure that your application is complete and that you have provided all of the necessary documentation. Tafadhali Kumbuka kwamba, fomu ambazo hazijakamilika hazitashughulikiwa. Ni jukumu lako kuhakikisha kwamba ombi lako limekamilika na umetoa vitu vyote vinavyohitajika.

 

 

REQUIREMENTS VIGEZO

 1. Applicant must be a Kisa graduate who completed 2 Day Challenge and attended the final meeting. Mwombaji ni lazima awe mwanafunzi wa mradi wa Kisa aliyefanya zoezi la Mradi wa siku mbili katika jamii yake na kuhudhuria mkutano wa mwisho wa mradi wa Kisa.
 2. Applicant must be a Kisa graduate who is in need of assistance and behaved well in Kisa classes. Mwombaji ni lazima awe mwanafunzi wa Kisa mwenye uhitaji na pia awe mwanafunzi aliyekuwa anafanya vizuri kwenye vipindi vya Kisa.
 3. Applicant must have completed Secondary level of education (that is, O-Level or A-Level) within two years after graduating from Kisa Project. Mwombaji ni lazima awe amemaliza Mradi wa kisa(A-level au O-Level) ndani ya miaka miwili.

 

ATTACHMENTS VIAMBATANISHI

Please provide all of the following documents over email after submitting the form. Tafadhali wasilisha vitu vifuatavyo.

First Time Applicants:

 • Your admission letter from the college or university. // Barua ya udahili wa chuo.
 • The fee structure of the college or university. // Mchanganuo wa ada wa chuo husika.
 • Current bank account details for the college or university. // Taarifa za Benki za chuo.
 • O-Level Certificate. // Vyeti vya taaluma.
 • Form 6 Results Slip.
 • Kisa Certificate of Completion. // Cheti cha kumaliza mradi wa Kisa.
 • One (1) passport size photograph. // Picha 1 – pasipoti.

 

Returning Applicants:

 • Updated fee structure of the college or university. // Mchanganuo wa ada ya chuoya wakati huu.
 • Updated bank account details for the college or university // Taarifa za Benki za chuo za wakati huu
 • One (1) passport size photograph. // Picha 1 – pasipoti.

 

 

PLEASE SELECT ONE:

First Time Applicant
Returning Applicant
Loading...